Author: J. FalknerHymnal: Mwimbieni Bwana #340 (1988)Topics: Kushika mwenendo wa Kikristo Kumfuata YesuFirst Line: Haya umati wa YesuLanguages: Swahili
Author: HajulikaniHymnal: Mwimbieni Bwana #362 (1988)Topics: Kushika mwenendo wa Kikristo Kumngojea Mungu siku za shidaFirst Line: Matendo yangu yoyoteLanguages: Swahili
Author: Mch. Sila MsangiHymnal: Mwimbieni Bwana #367 (1988)Topics: Kushika mwenendo wa Kikristo Kumngojea Mungu siku za shidaRefrain First Line: Pokea wokovuLyrics: 1 Vumilia utaona mwisho
Kwamba umefika
Kimebaki kitambo kidog
Tufike mbinguni.
Refrain:
Pokea wokovu
Ngao yako imani
Nenda kwake
Yesu Mwokozi;
Pokea wokovu
Ngao yako imani
Nenda kwake
Yesu Mwokozi
2 Kwa imani tutakwenda mbele
Bila kulegea.
Wokovu ni wa thamani kubwa
Kwa damu ya Yesu. [Refrain]
3 Wasikia sauti yasema
Amini Injili,
Ukiwa katika giza kubwa
Amini Injili. [Refrain]
4 Imani kwa mambo yaliyopo
Na yale yajayo,
Mbele yetu ni njia ya kweli
Injili ya Yesu. [Refrain]Languages: Swahili
Author: C. H. GabrielHymnal: Mwimbieni Bwana #369 (1988)Topics: Kushika mwenendo wa Kikristo Kungoja Utukufu wa Bwana na kurudi kwakeLanguages: Swahili
Author: J. L. K. Allendorf, 1693-1773Hymnal: Mwimbieni Bwana #370 (1988)Topics: Kushika mwenendo wa Kikristo Kungoja Utukufu wa Bwana na kurudi kwakeLanguages: Swahili
Author: S. F. BennettHymnal: Mwimbieni Bwana #373 (1988)Topics: Kushika mwenendo wa Kikristo Kungoja Utukufu wa Bwana na kurudi kwakeRefrain First Line: Si mbali, karibuLanguages: Swahili
Author: W. P. Mackay, 1839-1885Hymnal: Mwimbieni Bwana #374 (1988)Topics: Kushika mwenendo wa Kikristo Kungoja Utukufu wa Bwana na kurudi kwakeFirst Line: Ni wako MunguLanguages: Swahili
Author: Wilson KyakajumbaHymnal: Mwimbieni Bwana #379 (1988)Topics: Kushika mwenendo wa Kikristo Kungoja Utukufu wa Bwana na kurudi kwakeFirst Line: Mungu tangu mwanzo ameangdaaRefrain First Line: Kayatimiza yoteLanguages: Swahili
Hymnal: Mwimbieni Bwana #380 (1988)Topics: Kushika mwenendo wa Kikristo Kungoja Utukufu wa Bwana na kurudi kwakeFirst Line: Kuna nchi nzuri sanaLanguages: Swahili
Hymnal: Mwimbieni Bwana #381 (1988)Topics: Kushika mwenendo wa Kikristo Kungoja Utukufu wa Bwana na kurudi kwakeFirst Line: Kuna nchi nzuriLanguages: Swahili
Author: Wilson KyakajumbaHymnal: Mwimbieni Bwana #347 (1988)Topics: Kushika mwenendo wa Kikristo Kumfuata YesuRefrain First Line: Ee ndugu mudaLanguages: Swahili
Author: Mchungaji Sila MsangiHymnal: Mwimbieni Bwana #355 (1988)Topics: Kushika mwenendo wa Kikristo Kumfuata YesuRefrain First Line: Ee nishike nifike kwa BwanaLanguages: Swahili