Salamu, Yesu Bwanangu

Salamu, Yesu Bwanangu

Author: Paul Gerhardt
Published in 1 hymnal

Representative Text

1 Salamu, Yesu Bwanangu
wewe uzima wangu.
Nimekujia, naleta
vyote ulivyonipa:
Ni moyo na nwili wangu,
hata na mawazo yangu
ndiyo heshima yangu.

2 Umezaliwa Bwanangu
kwa ajili ya mimi;
umenipenda kabisa,
umenipa wokovu.
Tangu mimi sijaumbwa
umenitengenezea
Ukombozi wa moyo.

3 Uvuli mzito wa mauti
ulinifunikiza:
Umenitokea jua,
waniangaza moyo.
Wewe Bwana umenipa
nuru, raha na uzima.
Nakushukuru Bwana.

Source: Mwimbieni Bwana: msifuni Mungu, mfalme wa mbingu na nchi! #13

Author: Paul Gerhardt

Paul Gerhardt (b. Gräfenheinichen, Saxony, Germany, 1607; d. Lubben, Germany, 1676), famous author of Lutheran evangelical hymns, studied theology and hymnody at the University of Wittenberg and then was a tutor in Berlin, where he became friends with Johann Crüger. He served the Lutheran parish of Mittenwalde near Berlin (1651-1657) and the great St. Nicholas' Church in Berlin (1657-1666). Friederich William, the Calvinist elector, had issued an edict that forbade the various Protestant groups to fight each other. Although Gerhardt did not want strife between the churches, he refused to comply with the edict because he thought it opposed the Lutheran "Formula of Concord," which con­demned some Calvinist doctrines. Consequently, he was r… Go to person page >

Text Information

First Line: Salamu, Yesu Bwanangu
German Title: Es iist gewisslich
Author: Paul Gerhardt
Language: Swahili
Notes: Sauti: Es ist gewisslich by Johann Eccard, 1591, Posaunen Buch, Erster Band #115, Lutheran Book of Worship #321

Instances

Instances (1 - 1 of 1)
TextPage Scan

Mwimbieni Bwana #13

Suggestions or corrections? Contact us